Share this page (click here).
Maelezo ya ziada na vifaa-tafsiriwa ya Siku ya Maombi kwa ajili ya Amaniya Yerusalemu
Translated Materials for the Day of Prayer for the Peace of Jerusalem

Vifaa na maelezo ya ziada Tools and Resources

Hapa chini kuna vifaa kadha na maelezo ya ziada ambayo unawezatumia kueneza habari kuhusu Siku ya Maombi kwa ajili ya Amani ya Yerusalemu katika eneo lako
Below are several tools and resources you can use to promote the Day of Prayer for the Peace of Jerusalem in your region

Tangazo la 2016
2016 Flyer

Tangazo la 2016 inamaelezo kwa kijumla kuhusu mlengo wetu, orodha ya viongozi na mahuduma yanoshiriki nasi, vidokezo kuhusu jinsi unayoweza kuhusika na malengo yetu ya 2016.
The 2016 flyer is a general information piece that includes a description of the vision, a list of participating leaders and ministries, suggestions on how you can be involved, and our goals for 2016.

 

 
 Security code